FAIDA ZA UGALI WA DONA

MARA nyingi baadhi ya watu huwahimiza watu wengine kutumia unga wa mahindi au nafaka zingine usiokobolewa bila ya kubainisha hasara ya unga wa aina hiyo.

Watu wengi (bila shaka hata wewe msomaji wa makala haya), hawako tayari kutumia unga usiokobolewa maarufu kama dona. Kuwalazimisha watu wa aina hiyo kutumia unga usikobolewa (unga wa dona) ni sawa na kuwaweka watu hao katika hatari ya kuwa na lishe duni.

Continue reading “FAIDA ZA UGALI WA DONA”

Advertisements

Jipatie Nafaka Bora Kutoka New Zeal Tz Ltd

New Zeal Company is a private owned company which serves in food processing, packaging and distribution industry. We are engaged in the creation of food products that area nutritious, with high level of competence and customer satisfaction, while cultivating an atmosphere of respect, trust, and responsibility among employees, customers, and suppliers.

Continue reading “Jipatie Nafaka Bora Kutoka New Zeal Tz Ltd”

JPM Kuusu Hukumu Ya Kifo

jpm

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa anapatwa na kigugumizi kusaini hukumu za wafungwa ambao wamehukumiwa kunyongwa baada ya kukutwa na makosa mbalimbali.

Ameyasema hayo hii leo Ikulu Jijijni Dar es salaam wakati wa hafla ya kumwapisha Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma, ambapo amemtaka Jaji huyo kusimamia haki katika kutoa maamuzi.

Continue reading “JPM Kuusu Hukumu Ya Kifo”

Mbowe Aeleza Mapya ya Hali ya Lissu, Dereva Wake Naye Alazwa

Lissu-Tundu

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe amezungumzia maendeleo ya afya ya mwanasheria mkuu wa chama hicho, Tundu Lissu aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Nairobi baada ya kupigwa risasi.

Akizungumza jana jioni kutoka jijini Nairobi, Mbowe amesema kuwa afya ya Lissu imeendelea kuimarika taratibu.

Continue reading “Mbowe Aeleza Mapya ya Hali ya Lissu, Dereva Wake Naye Alazwa”

Mtanzania Aliyesoma Kwa Ada ya Tsh. Milioni 365 Marekani

Benjamin-Fernandes-receives-his-award-660x400

Benjamin Fernandes kwa wengi litakuwa jina geni. Huyu ni Mtanzania ambaye anazidi kuzichukua headlines za kimataifa ikiwa ni pamoja na hii ya kuwa Mtanzania wa tatu kuhitimu chuo kikuu cha biashara namba moja duniani “Stanford Business” cha Marekani.

Continue reading “Mtanzania Aliyesoma Kwa Ada ya Tsh. Milioni 365 Marekani”

Makonda Awageuzia Ubao Maafisa Elimu Dar

MakondaPic

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amewataka maafisa elimu Jijini Dar es salaam kutoa taarifa nzuri ya maendeleo ya elimu ama kuandika barua ya kuacha kazi endapo watashindwa kuwasilisha taarifa hiyo.

Ameyasema hayo Jijini Dar es salaam wakati wa kikao chake na Maafisa elimu hao huku akiwataka kutoa ripoti ya maendeleo ya elimu katika Jiji la Dar es salaam.

Continue reading “Makonda Awageuzia Ubao Maafisa Elimu Dar”